GET /api/v0.1/hansard/entries/412998/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 412998,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/412998/?format=api",
"text_counter": 750,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kwanza, nasimama kupinga Mswada huu ambao umependekezwa na upande wa Serikali kwa hoja zifuatazo: Kwanza, itakuwaje Waziri-Katibu kupewa nguvu za kuwateua manaibu Chancellor wa vyuo vikuu baada ya bodi ya seneti na Council kuwachagua katika nyadhifa hizo? Nafikiri hilo ni jambo ambalo silo la muhimu."
}