GET /api/v0.1/hansard/entries/412999/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 412999,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/412999/?format=api",
    "text_counter": 751,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Jambo la pili ambalo linanifanya nipinge ni kwa sababu ukiangalia ile bodi ya vijana ambayo inafaa kuwa imeteuliwa na Waziri-Katibu, inapatiwa jukumu la kuweza kufanya makadirio ya bajeti na pia kupitisha mipango ya vijana ilhali vijana wale wamechaguliwa na vijana wenzao kote nchini."
}