GET /api/v0.1/hansard/entries/413002/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 413002,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/413002/?format=api",
"text_counter": 754,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ningependa kuangazia Mswada huu kwa sababu kuna mbinu za kichini chini za kuhakikisha kwamba wale Mawaziri-Katibu wanajilimbikizia mamlaka ambayo hata Rais mwenyewe hana. Utakuta vipengele vingi ambavyo vinapendekezwa hapa vikisema kwamba Waziri-Katibu aweze kuwa na nafasi ya kuteua bila idhini ya Bunge hili la Kitaifa. Hilo si jambo la busara."
}