GET /api/v0.1/hansard/entries/415414/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 415414,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/415414/?format=api",
"text_counter": 269,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Shukrani, Bw. Spika. Yale niliyo yasikia kutoka kwa viongozi wa Kamati tuliyoiunda ni kama hadithi za Alfu Lela U Lela. Mengine ni zaidi ya hekaya za abunuasi kwa sababu kuwapa wananchi mbegu za kupanda zisizo ota ni kama vile abunuasi alimulikiwa na mwanga wa tochi kwamba apate joto la baridi."
}