GET /api/v0.1/hansard/entries/426697/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 426697,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426697/?format=api",
    "text_counter": 343,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "hajulikani. Kama kuna wale wanafahamu Al Shabaab, ni vizuri wajitokeze watuambie sura ya AlShabaab ni hii ili Wakenya wajue. Mtu yeyote akibeba bunduki, anaitwa Al Shabaab . Ninasema hivyo kwa sababu nilikuwa katika kamati ya usalama katika Bunge la Kumi, watoto wetu walichukuliwa na kwenda kufunzwa--- Tulitoka hapa tukaelekea Voi na tukapata watoto zaidi ya 600 wanafunzwa pale. Siku hiyo walitoka watoto kama---"
}