GET /api/v0.1/hansard/entries/442451/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 442451,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442451/?format=api",
"text_counter": 367,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kila mahali sisi tunakoenda, tunahubiri amani. Kwa hivyo, haya mambo ya mapambano, guruneti na sijui nini; wananchi wanauliza, je huu ni wakati wa kupiga siasa au kufanya kazi? Wacha watupatie nafasi sisi, kama Serikali ya Jubilee, ili tufanye kazi; nao wangoje hadi mwaka wa 2017 ndipo watuambie tumefanya nini."
}