GET /api/v0.1/hansard/entries/445892/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 445892,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/445892/?format=api",
    "text_counter": 105,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Swala la barabara si swala la Githunguri na Ruiru pekee. Tulipitisha Hoja hapa kuhusu kilomita 20 za barabara katika kila eneo-wakilishi la Bunge. Pengine Mwenyekiti angetuelezea ni lini mipango hiyo itaanza katika kila eneo-wakilishi la Bunge ili barabara zipitike vyema. Wizara ina mipango gani ili miradi hiyo ianze mara moja kwa sababu mwaka wa kwanza umepita na hakuna chochote kimeanza?"
}