GET /api/v0.1/hansard/entries/448227/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 448227,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/448227/?format=api",
"text_counter": 28,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Mhe. Spika, ninaomba mwongozo kutoka kwako. Wakati Mbunge mpya anapolishwa kiapo cha ofisi tunalazimika kusimama. Kanuni za Bunge, Vipengele vya 3 na 104 havisemi kwamba ni lazima tusimame wakati Mbunge mpya anapolishwa kiapo. Mwongozi wa sisi kusimama wakati Mbunge mpya analishwa kiapo umetoka wapi? Naomba mwongozo kutoka kwa Mhe. Spika."
}