GET /api/v0.1/hansard/entries/464142/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 464142,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/464142/?format=api",
    "text_counter": 389,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "wamekufa, na umeona; akiwemo mtoto wa ndugu yako, ukiwa kiongozi, utanyamaza? Ninaomba hivi. Sisi tuko katika Serikali; hatuko nje ya Serikali. Kenya ni yetu. Hakuna mahali tunaenda. Kenya ni yetu, na ni lazima tuseme ukweli ili makosa yarekebishwe."
}