GET /api/v0.1/hansard/entries/470372/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 470372,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470372/?format=api",
    "text_counter": 101,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Haji",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Hii hali ya kulia kila siku itabadilisha nini? President ameapishwa na Serikali kuundwa! Kwa hivyo, tuzungumze yale ambayo yanafaa kuzungumzwa na tuwachane na hayo mengine."
}