GET /api/v0.1/hansard/entries/47315/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 47315,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/47315/?format=api",
"text_counter": 197,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Spika, kila wakati Waziri akija hapa anatueleza mambo ya Wakimbizi wa Ndani. Kwa nini hawarudishwi pahali walikotoka? Kule walikotoka kuna ardhi; walikuwa wanaishi pahali fulani. Mbona wasirudi huko kama amani imerudi? Mpaka sasa ni kuzungushana, merry-go-round. Waziri, tumechoka!"
}