GET /api/v0.1/hansard/entries/474825/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 474825,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/474825/?format=api",
"text_counter": 42,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Pili, makurutu waliambiwa wakimbie. Huu ni mwezi mtukufu wa Ramadhan. Ikiwa hii ndio mbinu inatumika kujua kurutu bora na hali wengine walikuwa wamefunga; je walikimbia sawa na wale ambao hawakuwa wamefunga? Je, hii si ilikuwa dhulma kwa Waislamu?"
}