GET /api/v0.1/hansard/entries/485515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 485515,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/485515/?format=api",
    "text_counter": 93,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika, nilikuwa nimeguzwa sana kwa sababu mhe. Mbunge amesema anapoitisha gari anaambiwa hakuna mafuta. Kwa hivyo, tuangalie hilo na tena kuweka maafisa wa usalama ndio waweze kumsaidia; hili pia lifanyike katika maeneo mengine ambapo watu wanalia kama yeye. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}