GET /api/v0.1/hansard/entries/506515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 506515,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/506515/?format=api",
    "text_counter": 328,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Asante sana kwa kunipatia fursa hii ili nichangie Ripoti hii kuhusu usalama. Usalama umekuwa tatizo ambalo limekuwa changamoto sana katika Serikali hii ya Kenya. Sisi viongozi wageni, tangu tuchaguliwe katika mamlaka haya, tumekuwa na changamoto nyingi sana."
}