GET /api/v0.1/hansard/entries/515359/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 515359,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/515359/?format=api",
    "text_counter": 222,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Prof.) Lonyangapuo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 447,
        "legal_name": "John Krop Lonyangapuo",
        "slug": "john-lonyangapuo"
    },
    "content": "Sijui kama Sen. Kisasa amesoma hii Hoja vizuri. Hii ni kwa sababu Hoja hii haiwakatazi watoto kutoka kaunti zingine kwenda kusomea katika kaunti zingine. Kwa hivyo, naomba aisome vizuri kabla ya kuendelea."
}