GET /api/v0.1/hansard/entries/526611/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 526611,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/526611/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Waititu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1618,
"legal_name": "Francis Munyua Waititu",
"slug": "francis-munyua-waititu"
},
"content": "Juzi nilimwona mhe. Muchai kwa runinga akiongea ukweli; alisema kuwa alikokuwa akifanya kazi, yaani katika COTU, kulikuwa na watu ambao walikuwa wanataka kumuua. Sisi kama Bunge la 11 hatutafanya kazi kama wakenya wanauwawa na hakuna kitu ambacho kinafanyika."
}