GET /api/v0.1/hansard/entries/546825/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 546825,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/546825/?format=api",
"text_counter": 255,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "Wabunge wetu wanafanya bidii sana kutumia Hazina za Maeneo Bunge kujenga shule na kupeana bursary . Lakini haya hayana msingi iwapo vyeti havitapeanwa kutoka katika shule mbalimbali katika Jamhuri yetu ya Kenya."
}