GET /api/v0.1/hansard/entries/551906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 551906,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/551906/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwakulegwa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 101,
        "legal_name": "Danson Mwazo Mwakulegwa",
        "slug": "danson-mwazo"
    },
    "content": "Bw. Spika, maswali yangu ni kama ifuatavyo: (1) Je, kama akina mama wa Taita-Taveta kweli wanazaa na wana vijana, kwa nini wasiandikwe kazi za vibarua? (2) Njama hizi hazijaanza leo. Kuna barabara inayotengenezwa kutoka Taita- Taveta kuja Mwatate na malori na mabasi yanaleta watu kila usiku. Ninauliza hivi---"
}