GET /api/v0.1/hansard/entries/575903/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 575903,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/575903/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Onyonka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 128,
"legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
"slug": "richard-onyonka"
},
"content": "Tuliambiwa wiki iliyopita kwamba tutakutana nao wiki hii. Lakini wiki hii imepita. Ningependa, ikiwa inawezekana, utoe uamuzi wako kama Naibu Spika, tukutane wiki ijayo ama siku fulani – hata kama ni kesho - ili tujaribu kujadili mambo yanayohusu maswala ya matakwa ya wafanyakazi wetu na wale ambao wanatushughulikia, ili tuje kufanya mambo hapa."
}