GET /api/v0.1/hansard/entries/587984/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 587984,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587984/?format=api",
"text_counter": 93,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "za kuwekeza ni nyingi pale. Lakini nimesema mazingira pia ya uwekezaji ni conducive and permissive . Kwamba ni mazuri lakini pia yanawezesha. Lakini waambieni pia wawekezaji kuna salama pale. Siku hizi hatutaifishi tena, tumeacha. Lakini, pia, anayewekeza anaruhusiwa kuchukua faida; anaweza kuondoka na gawio la hisa. Nimeeleza kuwa Tanzania ni waumini wa utangamano wa kikanda; regional"
}