GET /api/v0.1/hansard/entries/61965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 61965,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/61965/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "alimuuliza Waziri wa Uchukuzi:- (a) kama ana habari kwamba uwanja mdogo wa ndege wa Baragoi katika Wilaya ya Samburu Kaskazini uko katika hali mbaya; na, (b) hatua atakayochukua kuhakikisha kuwa uwanja huo umerekebishwa."
}