GET /api/v0.1/hansard/entries/64343/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 64343,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/64343/?format=api",
"text_counter": 96,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "alimuuliza Waziri wa Maji na Unyunyizaji:- (a) Je, ana habari ya kwamba wakazi wa eneo la Samburu wamekumbwa na shida kubwa ya uhaba wa maji; na, (b) Serikali inapanga kuchukua hatua gani kabambe kuhakikisha ya kwamba wakazi wa wilaya hiyo wamepata maji."
}