GET /api/v0.1/hansard/entries/654257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 654257,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/654257/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Rai",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 203,
"legal_name": "Samuel Gonzi Rai",
"slug": "samuel-rai"
},
"content": "Mswada huu unahitaji kuboreshwa katika Kamati ya Bunge nzima ili kuhakikisha kwamba umeweza kuyalenga yale yote ambayo yanaweza kumnufaisha mwanadamu. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naomba kuunga mkono."
}