GET /api/v0.1/hansard/entries/657814/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 657814,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/657814/?format=api",
    "text_counter": 743,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Asante sana. Hiyo ni kuonyesha maneno haya ni kabambe. Kwa hivyo naomba ya kwamba uteuzi ufanywe baada ya uchaguzi na tuhakikishe kwamba mambo yamekuwa sawa sawa. Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Naunga mkono."
}