GET /api/v0.1/hansard/entries/756008/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 756008,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/756008/?format=api",
"text_counter": 57,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker_title": "The Member for Nyali",
"speaker": {
"id": 13398,
"legal_name": "Amin Deddy Mohamed Ali",
"slug": "amin-deddy-mohamed-ali"
},
"content": "Mhe. Naibu wa Spika, licha ya Hoja zote zilizotajwa majuzi na Rais – Hoja za Kenya na Ukenya ndani yetu – ningelipenda pia kuchukua fursa hii kuomba Bunge hili, chini ya uangalizi wako, katika siku za usoni kuwa makini na kutunga sheria kali dhidi ya walanguzi wa dawa za kulevya."
}