GET /api/v0.1/hansard/entries/756060/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 756060,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/756060/?format=api",
    "text_counter": 109,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Woman Representative for Nakuru County",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nimeshukuru sana, Naibu Spika kwa sababu umenipatia nafasi kuongea. Niko tayari kufanya kazi pamoja na watu wa Nakuru. Tuko pamoja na tuendelee vivyo hivyo. Saidia mwenzako, tafadhali. Mimi niko tayari kufanya kazi. Ahsante sana."
}