GET /api/v0.1/hansard/entries/7635/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 7635,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7635/?format=api",
"text_counter": 298,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bw. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "auliza Waziri wa Barabara:- (a) Serikali imeweka lami barabara zipi katika Eneo Bunge la Cherang’any tangu mwaka wa 2000, (b) Serikali itakarabati lini na kuhakikisha barabara ya Maili Saba- Kaplamai-Kachibora-Kapcherop inapitika, na; (c) ana mipango gani maalum ya kutengeneza barabara zote katika Eneo Bunge la Cherang’any ambazo hazipitiki kamwa kufuatia uharibifu mkuu ulioletwa na mvua nyingi ya hivi majuzi."
}