GET /api/v0.1/hansard/entries/7661/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 7661,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7661/?format=api",
    "text_counter": 324,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ruto",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hoja ya nidhambu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Bw. “Sonko” alisema kwamba kuna wanakandarasi fulani ambao wanatoa pesa; wengine pesa nyingi na wengine wanatoa pesa ndogo ndogo na akaendelea kueleza hao ni akina nani. Lakini sijui kama Waziri alikubali kama kuna wanakandarasi wa aina hiyo. Hakujibu swali hilo."
}