GET /api/v0.1/hansard/entries/77454/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 77454,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/77454/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Keti basi! Ninaona tutaangalia ratiba ya Bunge na tuone lilikuwa Swali nambari gani halafu tutaliwasilisha kwenye Orodha Jumanne wiki lijalo. Lakini hata kabla hilo halijafanyika, nataka Bunge lielewe kwamba Bw. Spika hahangaiki kwa vyovyote."
}