GET /api/v0.1/hansard/entries/776016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 776016,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776016/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ali Sharif",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Nikizungumza kwamba kuna nyumba imepigwa alama ya “X” na kuvunjwa, haijavunjwa, wala hakuna ilani yoyote. Ninataka kuhakikishia watu wa Lamu Mashariki wasiwe na hofu yoyote . Hakuna nyumba inavunjwa na Serikali iko pamoja na wao. Sidhani kama kutakuwa na maswala kama hayo. Maendeleo yapo na tumeyaona."
}