GET /api/v0.1/hansard/entries/778061/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 778061,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/778061/?format=api",
    "text_counter": 140,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Tuwei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13436,
        "legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
        "slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
    },
    "content": "Wakati tulipokuwa tukiangalia stakabadhi na vyeti vyake, tuligundua kwamba Balozi Macharia ana ufasaha katika taaluma yake kimataifa na humu nchini. Tulipata kwamba yeye ndiye mwanzilishi wa kampuni, Rank Zerox, ambayo imefana hapa nchini kwa kazi yakupiga chapa."
}