GET /api/v0.1/hansard/entries/786220/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 786220,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/786220/?format=api",
    "text_counter": 101,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mara nyingi imesemekana kuwa vijana ni viongozi wa kesho. Mfano mzuri ni kama huyu Seneta wa Kaunti ya Makueni; wakati wenu umefika na ni sasa. Kwa hivyo, nawaomba tusimame kwa umoja ili tuhakikishe kwamba yale ambayo yamekubalianwa yametekelezwa. Kwa haya machache, Bw. Spika, naunga mkono. Asante sana."
}