GET /api/v0.1/hansard/entries/85216/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 85216,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/85216/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Mda, inasikitisha sana kwamba wakulima wamepewa kisogo na Serikali. Kwa sasa, wakulima wanafanya kilimo-biashara â siyo kilimo cha kuzalisha chakula peke yake â lakini inasikitisha kwamba Serikali imepunguza bei ya mahindi kutoka Kshs2,500 kwa gunia la kilo 90 mwaka uliopita mpaka Kshs1,500 hivi sasa. Waziri Msaidizi, afua ni mbili: Utangaze kwamba mtaongeza bei ifike Kshs2,500 kwa gunia ama ninakupatia ilani kwamba sisi, kama Wabunge, tutaitisha maandamano ya wakulima katika taifa la Kenya; watasusia kupeana mahindi yao kwa Serikali. Tayari Serikali imetangaza kwamba mwako ujao kutakuwa na---"
}