GET /api/v0.1/hansard/entries/873867/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873867,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873867/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Sikukueleza. Lakini ni kweli kwamba Mheshimiwa Njomo alikitumia chombo chako. Nimekusikia Mbunge wa Nakuru Mjini Mashariki. Tutaanza na Mheshimiwa Tecla Tum. Utaongea kuhusu Hoja hii katika lugha ya Kiswahili."
}