GET /api/v0.1/hansard/entries/873998/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873998,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873998/?format=api",
"text_counter": 281,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tetu, JP",
"speaker_title": "Hon. James Gichuhi",
"speaker": {
"id": 13490,
"legal_name": "James Gichuhi Mwangi",
"slug": "james-gichuhi-mwangi"
},
"content": "Kwa hivyo, mimi ni mmoja wa wale wanaunga mkono Hoja ya kufutilia mbali ada za matibabu katika hospitali zote za umma. Tukifanya hivyo, tutaona ya kwamba Kenya yetu itaendelea vizuri."
}