GET /api/v0.1/hansard/entries/885467/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 885467,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885467/?format=api",
    "text_counter": 473,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "hapo awali kuweza kutekeleza wajibu wa kuona ya kwamba maisha ya Mkenya hayatapotea. Vile vile, ninataka kusema ya kwamba, huu ukorofi wa mambo ya Galana Kulalu; tuliua Galana Kulalu ambapo sisi tuliweza kuweka pesa nyingi ndani yake kuona ya kwamba kila Mkenya---."
}