GET /api/v0.1/hansard/entries/895140/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895140,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895140/?format=api",
"text_counter": 347,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Katika Hotuba yake, Rais hakueleza ni biashara gani mbadala ambazo zitafanyika kwa watu wa Kaunti ya Mombasa, baada ya kupoteza biashara yao ya Bandari kwa kupelekwa Naivasha. Alichosema ni kwamba SGR ikifika Naivasha, biashara zote za"
}