GET /api/v0.1/hansard/entries/912773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 912773,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/912773/?format=api",
"text_counter": 133,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati, JP",
"speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Hii ni kwa sababu wakati nilipochukua driving licence, traffic officers wakikusimamisha kwa mkono, lazima ungesimama. Kabla wafike kwa gari, wangekwambia uwashe taa, upige dim, uweke signal na upige wiper . Akimaliza, angeenda nyuma ya gari na kusema ukanyage brakes ili angalie brake lights and parking lights . Tena angekwambia uweke hand brake na atingishe gari. Tunataka kutengeneza sheria mpya lakini zile ziko zikizingatiwa kwa njia nzuri zitareduce"
}