GET /api/v0.1/hansard/entries/922400/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922400,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922400/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, nakubaliana na Sen. Olekina alivyosema kwamba asiyefunzwa na mamake, hufunzwa na ulimwengu; na amesema vizuri. Lakini anatukanganya kwa sababu amesema leo amekuja kuchangia; itakuwa ni vigumu kwetu sisi ambao tumekuja hapa kumfunza, tutakuwa na shida kubwa kumfunza siku ya leo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}