GET /api/v0.1/hansard/entries/922401/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922401,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922401/?format=api",
"text_counter": 67,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Nataka kusema amefanya vizuri lakini kusema “ikiwa kuna dhuluma”--- Anapaswa kutohoa jina “dhulma” vizuri ndio liweze kueleweka na wale wote ambao wanaelewa ile lugha. Itakuwa ni jambo la kuwakejeli wanaoelewa hiyo lugha kwa sababu tutadhania ya kwamba maneno anayosema--- Mimi naonelea akiongea kwa lugha ya kingereza, huwa anajadili vilivyo kwa ufasaha na weledi. Lakini akiongea kwa lugha ya Kiswahili, inamkanganya kidogo mpaka hatumwelewi kabisa. Asante, Bw. Spika."
}