GET /api/v0.1/hansard/entries/938615/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938615,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938615/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cherargei",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13217,
"legal_name": "Cherarkey K Samson",
"slug": "cherarkey-k-samson"
},
"content": "baada ya mikutano ambayo ilifanyika jana, deni la wanakandarasi limeshuka kwa mwaka huu kutoka Kshs108 bilioni hadi Kshs34.5 bilioni. Ninafikiri, Kamati husika ikiongozwa na Naibu Mwenyekiti ambaye yuko nyuma yangu; Seneta wa Meru, inaweza kushughulikia jambo hilo, kwa sababu inaonekana kwamba Intergovernmental Budget and Economic Council (IBEC) na Baraza la Magavana wanaendelea kushughulikia swala hilo."
}