GET /api/v0.1/hansard/entries/941972/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 941972,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941972/?format=api",
"text_counter": 244,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kuresoi North, JP",
"speaker_title": "Mhe. Moses Cheboi",
"speaker": {
"id": 329,
"legal_name": "Moses Kipkemboi Cheboi",
"slug": "moses-cheboi"
},
"content": "Aliniambia la! Tutaitafsiri na kusema ni “Nyumba ya maana au ya kifahari” Hivyo ndivyo nitakavyosema. Kuna mambo kadhaa ambayo yataendelea kuwatatiza Wabunge kuyaelewa kikamilifu. Kwa mfano ukiangalia “ Petition ” kwa kawaida tungesema ni “Ombi” Lakini tafsiri yake si “Ombi”"
}