GET /api/v0.1/hansard/entries/943848/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 943848,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943848/?format=api",
"text_counter": 57,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, neno “mkunga” ni midwife kwa Kiingereza. Kwa hivyo si neno langu mimi bali ni neno la Kiswahili. Ijapokua mimi ni Mswahili, hilo ni neno linalotumika kuanzia, Sofala, Msumbiji, Kisimayu na hata Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo."
}