GET /api/v0.1/hansard/entries/959580/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 959580,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/959580/?format=api",
"text_counter": 350,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Tumeona katika miji kama vile Mombasa kuwa hakuna misitu mikubwa isipokuwa ile ya mikoko yaani Mangrove forests . Hii pia imeingiliwa na kukatwa kiholela kwa sababu ya changamoto ya sehemu ya kuishi na miti ambayo inatumika kama kuni na katika ujenzi wa nyumba."
}