GET /api/v0.1/hansard/entries/965145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 965145,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/965145/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa iliyoletwa na Sen. Mwaruma ambaye ni Seneta wa Kaunti ya Taita-Taveta. Taarifa hii imekuja wakati mwafaka. Ni karibu miaka mitatu sasa tangu pesa zianze kukusanywa lakini hakuna sheria ya kusaidia serikali za kaunti na jamii zinazoathiriwa na uchimbaji wa madini."
}