GET /api/v0.1/hansard/entries/966516/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 966516,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966516/?format=api",
"text_counter": 15,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Jambo la pili ni kwamba, niko na imani kwamba yale ambayo wamekuja kujifundisha hapa ndani ya Seneti – kujua kanuni na jinsi gani kazi inavyoendelea ndani ya Seneti – wakirudi nyumbani, watakuwa wamejifundisha. Wakiwa wamejifundisha na kuelewa, basi wakirudi kwao, pia wataweza kutekeleza wajibu wao ambao walichaguliwa na watu mashinani ili waweze kuwasaidia ndani ya County Assembly . Vile vile, natumai kwamba wale wafanyikazi wataweza kupata nafasi kwenda katika ofisi mbalimbali ndani ya Seneti, na kuweza kujifundisha."
}