GET /api/v0.1/hansard/entries/966518/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 966518,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966518/?format=api",
    "text_counter": 17,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Lusaka",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": null,
    "content": " Basi, naona kwamba Delegation ya Kilifi iko na marafiki wengi sana katika Maseneta, kwa sababu naona kwamba wengi wao wanataka kuwakaribisha. Kwa hivyo, mtazungumza kwa kifupi ili nyote muweze kupata nafasi."
}