GET /api/v0.1/hansard/entries/966606/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 966606,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966606/?format=api",
"text_counter": 105,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Jana alikuwa mahabusu. Karibu sana ndugu yangu. Vile vile, nilikuwa nataka kusema ya kwamba, katika hilo swala ambalo limeulizwa kuongezwe; ni lini ile barabara ya kutoka Mombasa hadi Malindi itamalizika. Kwanza ile sio barabara. Ni barabara ambayo inasafirisha watalii wengi, lakini utaona kwamba, ile barabara imeachwa ni kama pwani sio Kenya."
}