GET /api/v0.1/hansard/entries/976116/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 976116,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976116/?format=api",
    "text_counter": 160,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Nataka kumpongeza Sen. Kihika kwa kuleta mjadala huu wa kina mama. Bw. Spika, Mwenyezi mungu alimuumba mwanamke akiwa ametulia sana kwa sababu alikuwa kiumbe cha mwisho kuumbwa."
}