GET /api/v0.1/hansard/entries/976126/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 976126,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976126/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Wajua mahali pengine hapana mjadala. Upende, ukatae; mwanamke ni kiumbe muhimu. Kama ulikuwa wa maana sana, mbona ubavu utolewe nitengezwe mimi, na ulikuwa uko nao mwilini mwako mwenyewe? Kwa hivyo, mwanamke ni kiumbe muhimu; tukubali hilo kwanza. Halafu pia nataka kuishukuru Serikali ya Kenya; pamoja na yote ambayo uko nayo, imenifanya mimi nimekaa hapa Seneti leo. Hii ni kwa sababu ya Serikali ya Kenya na vyama vyetu tulivyo navyo."
}